Wimbo wa Kikristo | Unathubutu Kudai Jina la Mungu Haliwezi Kubadilika Kamwe?

04/09/2020

Wengine wanasema kwamba jina la Mungu halibadiliki,

hivyo, mbona basi jina la Yehova likawa Yesu?

Ilitabiriwa kuja kwa Masihi,

hivyo mbona basi mwanadamu kwa jina Yesu alikuja?

Mbona jina la Mungu lilibadilika?

Kazi kama hiyo haikufanyika muda mrefu uliopita?

Hawezi Mungu leo kufanya kazi mpya?

Hawezi Mungu leo kufanya kazi mpya?

Kazi ya jana inaweza kubadilishwa,

na kazi ya Yesu inaweza kufuata baada ya hiyo ya Yehova.

Haiwezi kazi ya Yesu kurithiwa na kazi nyingine?

Haiwezi kazi ya Yesu kurithiwa na kazi nyingine?

Ikiwa jina la Yehova linaweza kubadilishwa kuwa Yesu,

basi jina la Yesu haliwezi kubadilishwa pia?

Hakuna jambo lolote hapa lisilo la kawaida;

ni kwamba tu watu ni punguani sana.

Mungu daima atakuwa Mungu.

Bila kujali mabadiliko ya kazi Yake na jina Lake,

tabia na maarifa Yake hayabadiliki milele.

Ikiwa unaamini kwamba Mungu anaweza tu kuitwa na jina Yesu,

basi unajua machache sana.

Unathubutu kudai kwamba Yesu milele ni jina la Mungu,

kwamba Mungu milele na daima atajulikana kwa jina Yesu,

na kwamba haya hayatabadilika?

Unathubutu kudai kwa uhakika ni jina la Yesu

lililohitimisha Enzi ya Sheria na pia kuhitimisha enzi ya mwisho?

Nani anaweza kusema kwamba neema ya Yesu inaweza kuhitimisha enzi?

Mungu daima atakuwa Mungu.

Bila kujali mabadiliko ya kazi Yake na jina Lake,

tabia na maarifa Yake hayabadiliki milele,

tabia na maarifa Yake hayabadiliki milele,

tabia na maarifa Yake hayabadiliki milele.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp