Wimbo wa Injili | Shukrani na Sifa kwa Mwenyezi Mungu (Music Video)

16/08/2018

I

Tumeletwa mbele ya Mungu. Maneno Yake tunakula na kunywa.

Roho Mtakatifu anatupa nuru, tunaelewa ukweli anaonena Mungu.

Mila za dini, tumezitupa, minyororo yote. Isiyozuiliwa na sheria, mioyo yetu inawekwa huru.

Na sisi tunafurahi iwezekanavyo, tukiishi katika nuru ya Mungu,

kufurahi iwezekanavyo, kuishi katika nuru ya Mungu.

Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu, anayeonyesha ukweli kwa wanadamu wote.

Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu,

tuna njia ya kubadilika, na imani yetu isiyo dhahiri inapungua.

Tunaimba sifa, ee.

II

Tunamfuata Mungu kwa karibu, mafunzo ya ufalme tunayakubali.

Hukumu za Mungu ni kama upanga, ikifunua mawazo tuliyo nayo.

Kiburi, ubinafsi, na udanganyifu havifichiki. Hapo tu ndipo ninaona ukweli wangu.

Kwa aibu ninamwangukia Mungu, nimefichuliwa.

Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu, anayeonyesha ukweli kwa wanadamu wote.

Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu,

sisi tuko uso kwa uso na Mungu, na katika furaha Yake tunafurahia.

Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu. Wewe ni mtakatifu, Wewe ni mwenye haki, ee.

Tamanio langu ni kutenda ukweli, kuacha mwili, kuzaliwa upya, kuufaraji moyo Wako.

Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu, hukumu Yako imeniokoa kweli.

Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu, tabia yangu imebadilika.

Kwa sababu Yako, nimebarikiwa,

ee, nimebarikiwa.

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp