Wimbo wa Injili | Hatua Tatu za Kazi Zaeleza Yote Kuhusu Mungu Kumsimamia Mwanadamu

15/09/2020

Kazi ya kumsimamia mwanadamu imegawanywa katika hatua tatu,

na ina maana kuwa kazi ya kumwokoa mwanadamu imegawanywa katika hatua tatu.

Hatua hizi tatu hazihusishi kazi ya kuuumba ulimwengu,

ila ni hatua tatu za kazi ya Enzi ya Sheria,

Enzi ya Neema, na Enzi ya Ufalme.

Kazi ya kuiumba dunia ilikuwa kazi ya kusababisha uwepo wa wanadamu wote.

Haikuwa kazi ya kumwokoa mwanadamu,

na haina uhusiano na kazi ya kumwokoa mwanadamu,

na haina uhusiano na kazi ya kumwokoa mwanadamu,

kwa kuwa dunia ilipoumbwa mwanadamu hakuwa amepotoshwa na Shetani,

na hivyo hakukuwa na haja ya kutekeleza kazi ya kumwokoa mwanadamu.

Usimamizi wa Mungu wa mwanadamu ulianza kutokana na kazi ya kumwokoa mwanadamu,

na wala haukutokana na kazi ya kuiumba dunia.

Hakungekuwa na kazi ya kumsimamia mwanadamu

pasipo kuwepo na tabia potovu ya mwanadamu,

na kwa hivyo kazi ya kumsimamia mwanadamu ina sehemu tatu,

badala ya hatua nne, au enzi nne.

Hii tu ndio njia sahihi ya kutaja kazi ya Mungu ya usimamizi wa mwanadamu.

Enzi ya mwisho itakapofikia kikomo,

kazi ya kusimamia mwanadamu itakuwa imekamilika.

Hitimisho la kazi ya usimamizi lina maana

kuwa kazi ya kuwaokoa wanadamu wote imekamilika kabisa,

na kwamba mwanadamu amefika mwisho wa safari yake.

Kama viumbe wa Mungu,

mnapaswa kutambua kuwa mwanadamu aliumbwa na Mungu,

na kufahamu chanzo cha upotovu wa mwanadamu,

na, vilevile, kufahamu mchakato wa wokovu wa mwanadamu.

Hatua tatu za kazi ya Mungu ndizo

hadithi ya ndani ya usimamizi wa Mungu wa mwanadamu,

ujio wa injili ya dunia nzima, fumbo kubwa zaidi kati ya wanadamu,

na pia ni msingi wa kueneza injili.

Ukizingatia tu kuelewa ukweli sahili unaohusiana na maisha yako,

na usijue lolote kuhusu hili, maajabu makuu zaidi na maono,

basi maisha yako si ni sawa na bidhaa yenye kasoro,

yasio na maana isipokuwa kuangaliwa?

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp