Wimbo wa Kanisa | Wakati

17/11/2020

Roho pweke kasafiri toka mbali,

yachunguza wakati ujao, yatafuta uliopita,

yafanya kazi kwa bidii, na kufuatilia ndoto,

yafanya kazi kwa bidii, na kufuatilia ndoto.

Haijui inakotoka wala inakoenda,

kuzaliwa kwa machozi na kufifia kwa kufa moyo,

kuzaliwa kwa machozi na kufifia kwa kufa moyo.

Ijapokanyagwa chini, bado inashikilia.

Kuja kwako kwakomesha maisha ya dhiki kuelea.

Naona tumaini na, kulaki mwanga wa macheo.

Natazama umbali wenye ukungu, ninaona sura Yako.

Huu ndio un’gavu, ung’avu wa uso Wako.

Jana, nilitangatanga ugenini, lakini leo narudi nyumbani.

Nimejawa vidonda, si kama binadamu,

Ninaomboleza maisha ni ndoto.

Kuja kwako kwakomesha maisha ya dhiki kuelea.

Mimi sipotei tena. Mimi sizururi tena. Niko nyumbani sasa.

Naona joho Lako jeupe.

Huu ndio un’gavu, ung’avu wa uso Wako.

Kuja kwako kwakomesha maisha ya dhiki kuelea.

Mimi sipotei tena. Mimi sizururi tena. Niko nyumbani sasa.

Naona joho Lako jeupe.

Huu ndio un’gavu, ung’avu wa uso Wako.

Mizunguko mingi ya kuzaliwa upya, miaka mingi ya kusubiri,

sasa Mwenyezi amekuja.

Roho pweke ilipata njia, na haina huzuni tena.

Ndoto ya maelfu ya miaka.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp