Maneno ya Mungu ya Kila Siku: Kujua Kazi ya Mungu | Dondoo 170

Tabia yote ya Mungu imefichuliwa katika mpango wote wa uongozi wa miaka elfu sita. Haikufichuliwa tu katika Enzi ya Neema, ni katika Enzi ya Sheria tu, na zaidi ya hayo, ni katika wakati huu wa siku za mwisho. Kazi iliyofanywa katika siku za mwisho inawakilisha hukumu, gadhabu na kuadibu. Kazi ifanywayo katika siku za mwisho haiwezi kuwekwa mbadala wa kazi ya Enzi ya Sheria ama ile ya Enzi ya Neema. Ingawa, hatua zote tatu zinaungana kuwa kitu kimoja na yote ni kazi iliyofanywa na Mungu mmoja. Kawaida, utekelezaji wa kazi hizi umegawanyishwa katika enzi tofauti. Kazi iliyofanywa katika siku za mwisho inaleta kila kitu mpaka tamati; ile iliyofanywa katika Enzi ya Sheria ni ya mwanzo; na ile iliyofanywa katika Enzi ya Neema ni ya ukombozi. Na kuhusu maono ya kazi katika mpango wote wa usimamizi wa miaka elfu sita, hakuna anayeweza kupata ufahamu au kuelewa. Maono kama hayo yamebaki kuwa mafumbo kila wakati. Katika siku za mwisho, kazi ya neno pekee inafanyika ili kuukaribisha Wakati wa Ufalme lakini haiwakilishi enzi zile zingine. Siku za mwisho sio zaidi ya siku za mwisho na sio zaidi ya Enzi ya Ufalme, ambayo haiwakilishi Enzi ya Neema au Enzi ya Sheria. Siku za mwisho ni wakati ambapo kazi zote ndani ya mpango wa usimamizi wa miaka elfu sita inafichuliwa kwenu. Mafumbo kama hayo hayawezi kufichuliwa na mwanadamu yeyote. Haijalishi mwanadamu ana maarifa makubwa ya Biblia vipi, yanabaki tu kuwa maneno na si kitu zaidi, kwani mwanadamu haelewi kiini cha Biblia. Mwanadamu anaposoma Biblia, anaweza kupokea baadhi ya ukweli, kueleza baadhi ya maneno ama kuchunguza vifungu maarufu na nukuu, lakini hatawahi kuwa na uwezo wa kunasua maana iliyoko katika maneno hayo, kwani yote aonayo mwanadamu ni maneno yaliyokufa pekee, sio matendo ya kazi ya Yehova na Yesu, na mwanadamu hawezi kufumbu mafumbo ya kazi ya aina hiyo. Kwa hivyo, fumbo la mpango wa usimamizi wa miaka elfu sita ni fumbo kuu, iliyofichwa zaidi na isiyosahawishika kwa mwanadamu. Hakuna anayeweza kuelewa moja kwa moja mapenzi ya Mungu, ama, Yeye Mwenyewe Aeleze na kumfungulia mwanadamu, vinginevyo, yatabaki kuwa mafumbo milele kwa mwanadamu na kubaki mafumbo yaliyofungwa milele. Usiwajali wale walio katika ulimwengu wa kidini; kama hamngeambiwa leo, pia nyinyi hamngeweza kuelewa.

Kimetoholewa kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili

The Three Stages of Work Are Done by One God

I

All of God’s disposition has been revealed not only in the Age of Grace, Law, or last days, but throughout the six-thousand-year management plan. The last days’ work is judgment, wrath and chastisement. The work commenced in the Age of Law. Redemption was in the Age of Grace. And the work done in the last days brings everything to a close. Understand that the three stages of work, in different ages and locations, are clearly the work of one God, one Spirit. And all who separate them oppose Him.

II

The work chosen to be done in the last days can’t replace the work of the Age of Law or Grace. But the three connect into one entity. They are done by God, but in separate ages. The work commenced in the Age of Law. Redemption was in the Age of Grace. And the work done in the last days brings everything to a close. Understand that the three stages of work, in different ages and locations, are clearly the work of one God, one Spirit. And all who separate them oppose Him.

III

From the work of Jehovah to Jesus to now, three stages cover in a continuous thread the entire gamut of God’s management plan, are all the work that’s done by one Spirit. Since the world’s creation, God’s always been managing man. He’s the Beginning, End, First and Last, the One with whom an age begins and ends. The work commenced in the Age of Law. Redemption was in the Age of Grace. And the work done in the last days brings everything to a close. Understand that the three stages of work, in different ages and locations, are clearly the work of one God, one Spirit. And all who separate them oppose Him.

from Follow the Lamb and Sing New Songs

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp