Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Safina ya Siku za Mwisho | "Siku za Nuhu Zimekuja" Swahili Gospel Video

Filamu za Injili   5566  

Utambulisho

Hebu tumwangalie mwanadamu wakati wa enzi ya Nuhu. Mtu alishiriki katika kila aina ya utendaji wa maovu akikosa kufikiria toba. Hakuna aliyesikiliza neno la Mungu. Ugumu na uovu wao uliamsha hasira ya Mungu na mwishoni, walimezwa na maafa ya mafuriko makuu. Nuhu na familia yake ya watu nane pekee ndio walisikiliza neno la Mungu na walikuwa na uwezo wa kuishi. Sasa, siku za mwisho zimeshafika. Upotovu wa mwanadamu unakuwa mwingi zaidi na zaidi. Kila mtu huyatukuza mabaya. Dunia nzima ya dini hufuata wimbi la ulimwengu. Hawaupendi ukweli hata kidogo. Siku za Nuhu zimeshafika! Ili kuwaokoa wanadamu, Mungu amerudi tena kufanya kazi ya hukumu ya siku za mwisho miongoni mwa wanadamu. Hii ni mara ya mwisho ambayo Mungu anamwokoa mtu! Wanadamu wanapaswa kuchagua nini? Hii ni hadithi ya kweli. Kwa kuwa wananchi wa Kaunti ya Qingping katika mkoa wa Sichuan tena na tena wamekata kukubali injili ya ufalme ya Mwenyezi Mungu, wamekutana na matukio mawili ya mkasa. Wakati wa tetemeko kubwa la Sichuan ndugu wengi ambao waliamini katika Mwenyezi Mungu walilindwa na Mungu kimiujiza na walinusurika. Ukweli huu umeshuhudiwa: wale wanaomkubali na kumtii Mungu na wale wanaomkataa na kumpinga Mungu. Watu hawa wa aina mbili wana miisho miwili tofauti sana!