Wimbo wa Kusifu | Mungu Ni Mwanzo na Mwisho (Music Video)

07/06/2020

Mimi ndiye Alfa na Omega, Mwanzo na tena mwisho, wa awali na wa mwisho.

Ufunuo 22:13

Mungu Anakuwa mwili hasa kwa ajili ya kuikaribisha enzi mpya,

Atakuwa Ameikamilisha enzi ya kale wakati uo huo.

Kila wakati Yeye Mwenyewe Anapofanya kazi miongoni mwa mwanadamu,

ni mwanzo wa mapigano mapya.

Bila mwanzo wa kazi mpya,

kwa kawaida hakutakuwa na kikomo kwa enzi ya kale.

Na bila kikomo kwa enzi ya kale

ina maana kuwa vita na Shetani havijafika mwisho.

Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho;

ni Yeye Mwenyewe ndiye Anayeanzisha kazi Yake

na hivyo lazima iwe ni Yeye Mwenyewe Anayemaliza enzi ya kale.

Huo ndio ushahidi kuwa Yeye humshinda Shetani na huishinda dunia.

Yeye ndiye Mpanzi na Mvunaji.

Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho.

Ni kama tu Mungu Mwenyewe Anakuja miongoni mwa mwanadamu na kutenda kazi mpya

ndipo mwanadamu atakapoweza kujitoa kutoka katika umiliki wa Shetani

na kupata maisha na mwanzo mpya.

Vinginevyo, mwanadamu ataishi milele katika wakati wa kale

na milele kuishi katika ushawishi wa kale wa Shetani.

Katika kila enzi inayoongozwa na Mungu, sehemu ya mwanadamu huwekwa huru,

mwanadamu huendelea na kazi ya Mungu kuelekea enzi mpya.

Ushindi wa Mungu ni ushindi kwa wale ambao humfuata Yeye.

Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho;

ni Yeye Mwenyewe ndiye Anayeanzisha kazi Yake

na hivyo lazima iwe ni Yeye Mwenyewe Anayemaliza enzi ya kale.

Huo ndio ushahidi kuwa Yeye humshinda Shetani na huishinda dunia.

Yeye ndiye Mpanzi na Mvunaji.

Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho.

Mwanadamu huendelea na kazi ya Mungu kuelekea enzi mpya.

Ushindi wa Mungu ni ushindi kwa wale ambao humfuata Yeye.

Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho;

ni Yeye Mwenyewe ndiye Anayeanzisha kazi Yake

na hivyo lazima iwe ni Yeye Mwenyewe Anayemaliza enzi ya kale.

Huo ndio ushahidi kuwa Yeye humshinda Shetani na huishinda dunia.

Yeye ndiye Mpanzi na Mvunaji.

Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp