Dondoo ya Filamu ya Hali Halisi Kutoka “Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu”: Mungu Kuutawala Mwanzo na Mustakabali wa Wanadamu
08/11/2018
Kutoka wakati tunapoingia ulimwenguni tukilia kwa huzuni, sisi huanza kutekeleza majukumu tofauti katika maisha. Sisi husogea kutoka kuzaliwa hadi ugonjwa hadi uzee hadi kifo; sisi huenda kati ya furaha na huzuni…. Wnadamu hasa hutoka wapi, na kwa kweli tutaenda wapi? Ni nani aliyeudhibiti mwanzo wa mwanadamu, na ni nani huamuru mustakabali wake? Leo, yote yatafichuliwa …
Credits: https://www.holyspiritspeaks.org/special-topic/copyright.html
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Aina Nyingine za Video
Usomaji wa Maneno ya Mwenyezi Mungu
Maneno ya Mungu ya Kila Siku
Filamu za Injili
Ushuhuda wa Maisha ya Kanisa
Filamu za Ushuhuda wa Matukio ya Maisha
Filamu za Mateso ya Kidini
Mfululizo wa Video za Kwaya
Maisha ya Kanisa—Mfululizo wa Maonyesho Mbalimbali
Video za Muziki
Video za Nyimbo za Dini
Kufichua Ukweli
Dondoo Maalum za Filamu