Wimbo wa Kikristo | Vitu Vyote Viko Mikononi Mwa Mungu

15/07/2020

Mungu siku moja alisema maneno kama haya:

Kile ambacho Mungu anasema kina maana na kitatimia,

hakiwezi kubadilishwa na yeyote.

Haijalishi kama ni maneno yaliyonenwa awali

ama maneno ambayo yatanenwa baadaye,

yote yatatimizwa, yote yatatimizwa,

ili kila mmoja aone:

Hii ndiyo kanuni ya kazi ya maneno ya Mungu.

Kila kitu katika ulimwengu

kinaamuliwa na Mungu.

Ni nini ambacho hakiko mikononi mwa Mungu?

Chochote ambacho Mungu anasema kitafanyika.

Nani anaweza kubadilisha mapenzi ya Mungu?

Linaweza kuwa ndilo agano alilofanya Mungu duniani?

Hakuna kitu kinachoweza kuzuia mpango wa Mungu kusonga mbele.

Mungu anafanya kazi wakati wote.

Mungu kila wakati anafanya kazi ya kupanga usimamizi Wake.

Nani anaweza kukatiza?

Nani anaweza kukatiza?

Je, Mungu bado hapangi kila kitu?

Hali ambayo vitu vimeingia leo

bado iko katika mpango na mtazamo wa Mungu.

Hiki ni kile ambacho Amepanga kabla.

Nani kati yenu anaweza kuelewa mpango wa Mungu wa hatua hii?

Watu wa Mungu watasikia sauti Yake.

Wale wote wanaompenda Mungu kwa kweli

watarudi mbele ya kiti cha enzi ambacho Anakalia!

Watarudi mbele ya kiti cha enzi ambacho Anakalia!

Watarudi mbele ya kiti cha enzi ambacho Anakalia!

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp