Ushuhuda wa Kweli | Pambano la Kuwa Mtu Mwaminifu

26/07/2020

Zhen Cheng huendesha duka lake la kukarabati vifaa kwa njia iliyo nyofu na ya uaminifu, lakini anachuma pesa kidogo sana kila mwezi. Kwa sababu ya kuchoshwa na malalamiko ya mkewe, kuchochewa na shemejiwe, na kushawishiwa na jamii, anakiuka maadili yake mwenyewe polepole na kuanza kushiriki katika mbinu za hila ili achume pesa nyingi zaidi na aishi kwa raha. Baada ya kuwamini Mwenyezi Mungu, anajifunza kutoka kwa maneno ya Mungu kwamba Mungu anapenda watu waaminifu. Anapokabiliwa na sharti hili kutoka kwa Mungu, vita vya ndani vinaanza moyoni mwa Zhen Cheng: Akiwa mtu mwaminifu, atapata pesa kidogo zaidi na hata anaweza kuwa mdeni au kupoteza biashara yake. Je, baada ya vita hivi vya ndani kuibuka mara kadhaa, anachagua nini hatimaye? Utajua utakapotazama Pambano la Kuwa Mtu Mwaminifu.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp