Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Best Swahili Worship Gospel Songs "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu

Msururu wa MV za Ufalme   728  

Utambulisho

Chukua fursa unapokuwa na wakati, keti kimya mbele ya Mungu.

Soma neno Lake, jua ukweli Wake, rekebisha makosa yaliyo ndani yako.

Majaribu huja, yakabili; ijue nia ya Mungu na utakuwa na nguvu.

Mwambie ni vitu gani unavyokosa, shiriki ukweli Wake kila mara.

Roho yako ina furaha unapomwabudu Yeye.

Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu, usipinge tena.

Kujali kwako mwili, kunamuumiza Yeye sana.

Soma neno Lake, elewa ukweli Wake.

Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu. Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu.

Hivyo ishi kama mwanadamu mtakatifu!

Haijalishi ni jaribio lipi ama hukumu inayokuja, tutafanya kazi kumfurahisha Yeye.

Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu.

Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu na uishi ukweli Wake.

Ingawa tunakosa, tunapaswa kutafuta kumpenda Mungu.

Mradi tunampenda Yeye, bila shaka tutapokea sifa Yake.

Lazima tufuatilie ukweli na kumshuhudia Mungu.

Huu ni wajibu wetu ambao lazima tuufanye.

Roho yako ina furaha unapomwabudu Yeye.

Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu, usipinge tena.

Kujali kwako mwili, kunamuumiza Yeye sana.

Soma neno Lake, elewa ukweli Wake.

Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu. Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu.

Hivyo ishi kama mwanadamu mtakatifu!

Haijalishi ni jaribio lipi ama hukumu inayokuja, tutafanya kazi kumfurahisha Yeye.

Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu.

Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu na uishi ukweli Wake.

Hivyo ishi kama mwanadamu mtakatifu!

Haijalishi ni jaribio lipi ama hukumu inayokuja, tutafanya kazi kumfurahisha Yeye.

Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu.

Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu na uishi ukweli Wake,

na uishi ukweli Wake, na uishi ukweli Wake.

Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu na uishi ukweli Wake.

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya