Wimbo wa Kusifu | Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Mungu

06/04/2020

Mungu aliumba kila kitu,

na hivyo yeye hufanya viumbe wote kuwa chini ya utawala wake,

na kujiwasilisha kwenye utawala wake;

Yeye ataamuru kila kitu, ili kila kitu kiwe mikononi mwake.

Vitu vyote vilivyoumbwa na Mungu,

pamoja na wanyama, mimea, mwanadamu, milima na mito, na maziwa—

vyote ni lazima vije chini ya utawala Wake.

Vitu vyote mbinguni na ardhini lazima

zije chini ya utawala Wake.

Haviwezi kuwa na hiari yoyote

na vyote ni lazima vitii mipango Yake.

Hii iliagizwa na Mungu, na ni mamlaka ya Mungu.

Mungu huamuru kila kitu, na huagiza na kuainisha kila kitu,

ambapo kila kimoja huainishwa kulingana na aina,

na kutengewa nafasi zao zenyewe, kulingana na mapenzi ya Mungu.

Bila kujali kitu ni kikubwa namna gani, hakuna kitu kinachoweza kumpita Mungu,

na vitu vyote ambavyo vinamtumikia mwanadamu aliyeumbwa na Mungu,

na hakuna kitu kinachothubutu kumuasi Mungu ama kumdai Mungu.

Na kwa hivyo mwanadamu, kama kiumbe wa Mungu,

ni lazima atekeleze wajibu wa mwanadamu.

Bila kujali iwapo yeye ni bwana au mlindaji wa vitu vyote,

bila kujali jinsi hadhi ya mwanadamu ni kuu miongoni mwa vitu vyote,

bado yeye ni binadamu mdogo anayetawaliwa na Mungu,

na si zaidi ya binadamu asiye na umuhimu, kiumbe wa Mungu,

na kamwe hatawahi kuwa juu ya Mungu.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp