Filamu za Kikristo | Jinsi ya Kutambua Kiini cha Mafarisayo wa Kidini (Dondoo Teule)

13/09/2018

Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini wote ni watu wanaomtumikia Mungu katika makanisa. Wao mara nyingi wanaisoma Biblia na kutoa mahubiri kwa waumini, wawawaombea na kuwaonyesha huruma, lakini kwa nini tunasema wao ni Mafarisayo wa uongo? Hasa kuhusiana na kuchukilia kwao kurudi kwa Bwana, wao huwatafuti au kuchunguza kitu chochote, lakini kinyume chake wanakataa na kuhukumu kazi ya Mwenyezi Mungu. Kwa nini hasa ni hivi?

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp