Wimbo wa Kikristo | Uwepo Wa Binadamu Wote Unategemea Mungu

03/04/2020

Kazi ya Mungu ya mwisho si kwa ajili ya kumwadhibu mwanadamu

tu bali pia kwa ajili ya kupanga hatima ya mwanadamu.

Aidha, ni kwa ajili ya kupokea shukrani kutoka kwa kila mtu kwa yale yote ambayo Mungu amefanya.

Mungu anataka kila mtu aone kwamba yale yote ambayo Amefanya ni sahihi

na kwamba yote ambayo Amefanya ni dhihirisho la tabia Yake;

si kwa uwezo wa mwanadamu,

sembuse ulimwengu, ambao uliwaleta wanadamu.

Kinyume na hili, Mungu Ndiye anayelisha kila kiumbe miongoni mwa vitu vyote.

Bila uwepo wa Mungu, wanadamu wataangamia tu

na kusumbuka kutokana na mashambulizi ya misiba.

Hamna mwanadamu atakayeona uzuri wa jua

na mwezi au dunia ya kijani kibichi;

wanadamu watakumbana tu na usiku wenye baridi na bonde kali la uvuli wa mauti.

Mungu tu Ndiye wokovu wa wanadamu.

Yeye tu ndiye tumaini la wanadamu na zaidi ya hayo;

Mungu tu Ndiye mwamba wa uwepo wa wanadamu wote.

Bila Mungu, wanadamu watasimama kabisa mara moja.

Bila Mungu,

wanadamu watakumbana na msiba mkuu na kukanyagwa na mapepo wa aina yote,

hata kama hamna anayemsikiliza Mungu.

Mungu amefanya kazi ambayo haiwezi kufanywa na yeyote yule ila yeye,

na anatumaini tu kwamba mwanadamu anaweza kumlipa kwa kutenda matendo kiasi mema.

Mungu amefanya kazi ambayo haiwezi kufanywa na yeyote yule ila yeye,

na anatumaini tu kwamba mwanadamu anaweza kumlipa kwa kutenda matendo kiasi mema,

na anatumaini tu kwamba mwanadamu anaweza kumlipa kwa kutenda matendo kiasi mema.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp