Wimbo wa Kikristo | Mungu ni wa Kawaida Jinsi Usemavyo?

22/06/2020

Katika hii miaka yote,

ambayo watu wamekiona si Roho pekee na mwanamume,

bali pia vitu vingi visivyoambatana na fikira za binadamu,

na kwa hivyo hawawezi kumwelewa Mungu kikamilifu kamwe.

Wanashinda wakiniamini mara nyingine na mara nyingine wakiwa na shaka kumhusu,

kana kwamba Mungu yupo na ilhali ni ndoto ya mawazo.

Ndio maana mpaka siku ya leo, watu hawatambui Mungu ni nini.

Unaweza kweli kumweleza Mungu kwa sentensi moja?

Unaweza kweli kusema kwa uhakika kwamba

Yesu si mwingine ila ni Mungu, na Mungu si mwingine ila Yesu”?

Una ujasiri wa kusema kwamba

“Mungu si mwingine bali Roho na Roho si mwingine bali ni Mungu”?

Una ujasiri wa kusema kwamba

“Mungu ni binadamu tu aliyevalia mwili?”

Kwa kweli una ujasiri wa kusema kuwa

“Taswira ya Yesu ni taswira kubwa ya Mungu?”

Unaweza kuelezea kwa umakinifu tabia ya Mungu na umbo

kwa uwezo wa kipawa chako cha maneno?

Unaweza kuelezea kwa umakinifu tabia ya Mungu na umbo

kwa uwezo wa kipawa chako cha maneno?

Sasa, unajua hakika Mungu ni nini?

Je, Mungu ni binadamu? Je, Mungu ni Roho?

Je, Mungu kwa uhakika ni wa kiume? Je, Mungu kwa uhakika ni wa kiume?

Je, ni Yesu pekee Anayeweza kukamilisha kazi ambayo Mungu anataka kufanya?

Ukichagua moja tu kati ya haya kujumuisha kiini Changu,

basi utakuwa muumini mjinga kabisa,

basi utakuwa muumini mjinga kabisa.

Kama Mungu angefanya kazi akiwa mwili mara moja tu,

je, ungemwekea mipaka?

Je, unaweza kumwelewa kikamilifu kwa kumwangalia mara moja?

Je, unaweza hakika kumweleza kikamilifu

kwa mujibu tu wa yale ambayo umeyafahamu wakati wa maisha yako?

Na iwapo katika kuingia Kwake kwa mwili mara mbili Mungu anafanya kazi inayofanana,

utamchukulia vipi?

Unaweza kumwacha milele msalabani Akiwa amesulubiwa?

Je, Mungu anaweza kuwa wa kawaida jinsi unavyosema?

Je, Mungu anaweza kuwa wa kawaida jinsi unavyosema?

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp