Wimbo wa Kusifu | Uso wa Mfalme wa Ufalme ni Mtukufu Kupindukia

15/09/2020

Na kwamba Mungu ana mwanzo mpya duniani,

na Anatukuzwa duniani.

Kwa sababu ya mandhari mazuri ya mwisho,

Mungu hana budi kuonyesha uchu ulio ndani ya moyo Wake:

“Moyo Wangu unapiga na, kufuatia mdundo wa mpigo wa moyo Wangu,

milima inaruka kwa furaha, maji yanacheza kwa furaha,

na mawimbi, kwa wakati ufaao, yanagonga juu ya mawe ya mwamba.

Ni vigumu kueleza kile kilicho ndani ya moyo Wangu.”

Kile kilichopangwa na Mungu ni kile ambacho Mungu ameshatimiza,

kwamba kilijaaliwa na Mungu,

na ni kile hasa Mungu huwafanya watu kupitia na kutazama.

Mandhari ya ufalme ni mazuri,

Mfalme wa ufalme ni mshindi,

kutoka kichwani hadi kidoleni hakuna dalili yoyote ya mwili na damu,

Yeye mzima ni mtakatifu.

Mwili wake wote unang’aa kwa utukufu mtakatifu,

haujatiwa doa na mawazo ya kibinadamu hata kidogo,

mwili Wake wote, kutoka juu hadi chini,

umejaa haki na uzuri wa mbingu,

na unatoa harufu nzuri ya kupendeza mno.

Kama wapenzi katika Wimbo wa Suleiman,

Yeye bado ni mzuri kuliko watakatifu wote,

wa juu zaidi kuliko watakatifu wa kale,

Yeye ni mfano kati ya watu wote,

na Asiyelinganishika na mwanadamu;

watu hawafai kumtazama moja kwa moja.

Hakuna awezaye kuufikia uso mtukufu wa Mungu,

sura ya Mungu, au taswira ya Mungu.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp