Wimbo wa Kusifu | Maisha Yetu ya Kanisa Yanapendeza Sana | Neno la Mungu Humwongoza Mtu Kuishi Maisha Mapya (Music Video)

05/09/2017

I

Mwenyezi Mungu mwenye mwili, tunaimba nyimbo za sifa kubwa Kwako.

Wewe hutuleta katika maisha ya ufalme.

Sisi watu wa ufalme tu katika karamu yako ya fahari,

tukifurahia maneno Yako, tukitakaswa upotovu wetu.

Neno Lako hutuongoza na sisi kukufuata kwa karibu.

Ni neema ya Mungu kwamba tabia yetu ya kishetani imetupiliwa mbali.

Sisi hufurahia neno la Mungu na kuishi maisha mapya mbele Zake.

Kutunza moyo wa Mungu, kumpenda Yeye kwa dhati, kumshukuru na kumsifu.

La la la la la ... la la la la la ...

II

Kumini kwamba neno la Mungu ni ukweli na linaweza kutupa maisha.

Sisi hufanya ushirika kuhusu neno la Mungu na kuuelewa ukweli, na Roho Mtakatifu Akifanya kazi juu yetu.

Twajimimina mbali sisi wenyewe, kuwa sahili na wazi, na kufanya mazoezi ya kuwa mtu mwaminifu.

Ukweli hutufanya kuwa walioachiliwa na huru, ukijaza moyo wetu na furaha.

Maisha yetu ya kanisa yanapendeza sana, na watakatifu wote wamekuwa hai.

Sisi hufanya ushirika juu ya ukweli na kusaidiana, na maisha yetu hukua kwa kasi.

Kukubali hukumu, kutenda ukweli, na kuishi katika neno la Mungu.

Ishi kwa kudhihirisha uhalisi wa ukweli kutosheleza moyo wa Mungu.

La la la la la ... la la la la la …

III

Sisi ndugu huratibu kwa mpangilio na sote tuna furaha.

Sisi huwasilishiana maneno ya Mungu na kushiriki matukio, tukitekeleza majukumu yetu kwa uratibu.

Kutii kweli, kuingia uhalisi na kumfanya Mungu aridhike.

Kuishi katika upendo wa Mungu, sisi humsifu Mungu milele.

La la la la la ... la la la la la ...

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp