Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Best Swahili Christian Worship Song "Maisha Yetu Sio Bure"

Mfululizo wa Video za Muziki   607  

Utambulisho

Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.

Leo tunakutana na Mungu, tunapitia kazi Yake.

Tumemjua Mungu katika mwili, wa utendaji na wa hakika.

Tumeiona kazi Yake, nzuri na ya ajabu.

Kila siku ya maisha yetu sio bure.

Tunamshuhudia Kristo kama ukweli na uzima!

Kufahamu na kukumbatia fumbo hili.

Nyayo zetu ziko katika njia ng’avu zaidi ya hadi katika uzima.

Hatutafuti tena, yote yako wazi kwetu.

Mungu, tutakupenda Wewe milele bila majuto.

Tumepata ukweli, uzima wa milele tutapata.

Maisha yetu sio bure, sio bure.

Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.

Maisha ya kumpenda Mungu, yenye maana, sio matupu.

Tutimize wajibu wetu ili kushuhudia kwa ajili Yake.

Tunapata sifa ya Mungu, tunapokea wokovu Wake.

Hatuishi bure; maisha yetu, yenye utajiri na yaliyojaa.

Mungu, tutakupenda Wewe milele bila majuto.

Tumepata ukweli, uzima wa milele tutapata.

Maisha yetu sio bure, sio bure.

Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.

Ni nani angeweza kuwa amebarikiwa kuliko tulivyobarikiwa?

Je, bahati nzuri ingeweza kutabasamu

kwa utajiri na wingi mno?

Kwa kuwa Mungu ametupa sisi

mengi zaidi kuliko chochote kile Alichotoa katika enzi zilizopita.

Lazima tuishi kwa ajili ya Mungu,

Aliyetuinua mimi na wewe.

Tunapaswa kurudisha upendo wote uliomwagwa kwetu.

Mungu, tutakupenda Wewe milele bila majuto.

Tumepata ukweli, uzima wa milele tutapata.

Maisha yetu sio bure, sio bure.

Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.

Mungu, tutakupenda Wewe milele bila majuto.

Tumepata ukweli, uzima wa milele tutapata.

Maisha yetu sio bure, sio bure.

Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.

kutoka kwa Fuata Mwanakondoo na Uimbe Nyimbo Mpya