Wimbo wa Kikristo | Zingatia Majaliwa ya Binadamu

30/08/2020

Mungu awahimiza makabila yote, mataifa na nyanja zote:

Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake;

mzingatie hatima ya wanadamu;

mfanye Mungu Mtakatifu na Mheshimiwa,

Mkuu na wa pekee wakuabudiwa,

ulimwengu wote, na wanadamu, waishi chini ya baraka Yake Mungu,

kama vizazi vya Ibrahimu, walivyoishi na ahadi ya Yehova,

kama viumbe vya Mungu, Adamu na Hawa, walivyoishi bustani Edeni,

kama viumbe vya Mungu, Adamu na Hawa, walivyoishi bustani Edeni.

Kazi ya Mungu ni kama mawimbi yavumayo

hakuna wa kumzuia au kumsimamisha.

Ni tu kwa kusikiza neno Lake na kumuandama,

ndio nyayo Zake zinaweza kufuatwa na ahadi pokewa.

Wengine wote watapata angamizwa,

na kupokea adhabu wanayostahili.

Ni tu kwa kusikiza neno Lake na kumuandama,

ndio nyayo Zake zinaweza kufuatwa na ahadi pokewa.

Wengine wote watapata angamizwa,

na kupokea adhabu wanayostahili.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp