Wimbo wa Dini | Niko Tayari Kutekeleza Wajibu Wangu kwa Uaminifu (Music Video)

13/11/2018

Mpendwa Mwenyezi Mungu, ni Wewe ndiye Unayenipenda,

uliniinua kutoka kwa rundo la kinyesi hadi kwa mazoezi ya ufalme.

Maneno Yako yamenitakasa,

yakanifanya nianze kuishi maisha ya furaha.

Moyoni mwangu nahisi, kwa kweli, ni upendo Wako mkuu.

Aa … aa … aa … aa … Mpendwa Mwenyezi Mungu!

Maneno Yako yote ni ukweli.

Unastahili upendo wa binadamu.

Ee Mungu! Ukipuuza uasi wangu wa zamani,

Unanijali na kufanya kazi kuniokoa.

Unaniongoza katika njia ya kweli,

Ukitazama kila wakati katika upande wangu,

natarajia tu nitakua na kuwa mtu mpya.

Aa … aa … aa … aa … Mpendwa Mwenyezi Mungu!

Nitafuatilia kukupenda Wewe, mwaminifu kwa wajibu ili kukufurahisha Wewe.

Ee Mwenyezi Mungu, maneno Yako yamenitakasa.

Neema Yako ya wokovu sitasahu kamwe.

Nitakupenda Wewe maisha yangu yote, nikiuridhisha moyo Wako.

Uliacha mengi sana ili kuniokoa,

na sitakukosea Wewe kamwe.

Aa … aa … aa … aa … Mpendwa Mwenyezi Mungu!

Nitakupenda Wewe maisha yangu yote, mwaminifu katika wajibu, katika wajibu.

Aa … aa … aa … aa … Mpendwa Mwenyezi Mungu!

Nitakupenda Wewe maisha yangu yote,

mwaminifu katika wajibu, katika wajibu.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp