Wimbo wa Kikristo | Muda Upotezwao Hautawahi Kuja Tena

30/06/2020

Amkeni, ndugu! Amkeni, kina dada! Siku y Mungu haitakawishwa;

wakati ni uhai, na kuushika wakati ni kuokoa uhai!

Wakati hauko mbali sana!

Mkifanya mitihani ya kuingia katika chuo kikuu na msipite,

mnaweza kujaribu tena na mubukue kwa ajili ya mtihani.

Hata hivyo, siku ya Mungu haitakuwa na ucheleweshaji kama huo.

Kumbuka! Kumbuka! Mungu anakuhimiza kwa maneno haya mazuri.

Mwisho wa dunia unafunguka mbele ya macho yenu wenyewe,

majanga makubwa yanakaribia upesi.

Je, maisha yenu ni muhimu

au kulala, kula, kunywa, na kuvaa kwenu ndivyo muhimu?

Wakati umekuja wa ninyi kufikiria kwa makini mambo haya.

Ni wa kusikitisha jinsi gani! Jinsi gani walivyo duni!

Jinsi gani walivyopofuka! Jinsi gani wanadamu walivyo wakatili!

Kwa kweli mnalipuuza neno la Mungu—je, Ninazungumza nanyi bure?

Bado ninyi ni wazembe sana, kwa nini? Kwa nini hivyo?

Je, hamjawahi kufikiria kuhusu hilo kabla?

Mungu anasema mambo haya kwa ajili ya nani?

Mwamini Yeye!

Mungu ndiye Mwokozi wako! Yeye ndiye Mwenyezi wako!

Kesheni! Kesheni! Muda uliopotea hautakuja tena kamwe,

kumbuka hili! Duniani hakuna dawa iponyayo majuto!

Hivyo Mungu anapaswa kuzungumzaje nanyi?

Je, neno Lake halistahili uzingatifu wenu wa makini na kutafakari kwa kurudia?

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp