Mungu Ameshuka Nchini China
Mungu amekuwa mwili nchini China katika siku za mwisho; ni msingi gani upo kwa jambo hili katika unabii wa Biblia na katika maneno ya Mungu?
Aya za Biblia za Kurejelea: “Kwa kuwa kuanzia kuchomoka kwa jua hadi hata kutua kwake jina langu litakuwa kubwa miongoni mwa Mataifa” (Malaki 1:11). …
Ni nini lengo na umuhimu wa Mungu kuwa mwili nchini China ili kufanya kazi katika siku za mwisho?
Maneno Husika ya Mungu: Kazi ya Yehova ilikuwa uumbaji wa ulimwengu, ilikuwa mwanzo; awamu hii ya kazi ni mwisho wa kazi, na ni hitimisho. Hapo mwanz…