Onyo la Yehova Mungu Lawafikia Waninawi

Onyo la Yehova Mungu Lawafikia Waninawi

Yona 1:1-2 Sasa neno la Yehova likaja kwa Yona mwana wa Amitai, likisema, Amka, nenda Ninawi, mji mkuu, na uipigie kelele, kwani uovu wao umeenda juu mbele yangu. Yona 3 Neno lake Yehova likakuja kwake Yona kwa mara y…

2019-09-07 13:05:03

Mungu Aona Kutubu kwa Dhati katika Vina vya Mioyo ya Waninawi

Mungu Aona Kutubu kwa Dhati katika Vina vya Mioyo ya Waninawi

Utofautishaji Mkavu Katika Mwitikio wa Ninawi na Sodoma kwa Onyo la Yehova Mungu Kupinduliwa kunamaanisha nini? Kwa muktadha wa mazungumzo, kunamaanisha kutoweka. Lakini kwa njia gani? Ni nani angefanya mji mzima kupind…

2019-09-07 13:06:51

Kama Imani Yako kwa Mungu ni ya Kweli, Utapokea Utunzaji Wake Mara Nyingi

Kama Imani Yako kwa Mungu ni ya Kweli, Utapokea Utunzaji Wake Mara Nyingi

Mungu kubadilisha nia Zake kwa watu wa Ninawi hakukuhusisha kusitasita au kutoeleweka kokote. Badala yake kulikuwa ni mabadiliko kutoka kwa hasira tupu hadi uvumilivu mtupu. Huu ni ufunuo wa kweli wa kiini cha Mungu. Mun…

2019-09-07 13:07:44

Tabia ya Haki ya Muumba ni ya Kweli na Wazi

Tabia ya Haki ya Muumba ni ya Kweli na Wazi

Huruma na Uvumilivu wa Mungu si Nadra—Toba ya Kweli ya Mwanadamu Ndiyo Nadra Licha ya vile ambavyo Mungu alikuwa na ghadhabu kwa Waninawi, mara tu walipotangaza kufunga na kuvalia nguo ya gunia pamoja na jivu, moyo Wake…

2019-09-07 13:08:54

Hisia za Dhati za Muumba kwa Wanadamu

Hisia za Dhati za Muumba kwa Wanadamu

Watu mara nyingi husema kwamba si jambo rahisi kumjua Mungu. Mimi, hata hivyo, nasema kwamba kumjua Mungu si jambo gumu kamwe, kwani Mungu mara kwa mara huruhusu binadamu kushuhudia matendo Yake. Mungu hajawahi kusitisha…

2019-09-07 13:09:42

Muumba Aonyesha Hisia Zake za Kweli Kwa Binadamu

Muumba Aonyesha Hisia Zake za Kweli Kwa Binadamu

Mazungumzo haya kati ya Yehova Mungu na Yona bila shaka ni onyesho la hisia za kweli za Muumba juu ya binadamu. Kwa upande mmoja yanafahamisha watu kuhusu ufahamu wa Muumba wa asili yote yaliyo katika amri Yake; kama vil…

2019-09-07 13:10:28