Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Kitabu hiki cha nyimbo za dini kimegawanywa katika sehemu mbili kuu: Ya kwanza inajumuisha nyimbo za dini za maneno ya Mungu, ambazo zinajumuisha matamko yaliyo bora kabisa kutoka kwa Mwenyezi Mungu, na ya pili inajumuisha nyimbo za dini za maisha ya kanisa, ambazo ni ushuhuda halisi wa wateule wa Mungu uliotolewa baada ya kupitia hukumu Yake na ugumu na dhiki wakiwa wanamfuata. Nyimbo hizi za dini ni za faida kubwa kwa watu katika kufanya ibada zao za kiroho, kumkaribia Mungu, kutafakari maneno Yake, na kuelewa ukweli. Ni za faida kubwa hata zaidi kwa watu wanaopitia maneno ya Mungu na kuingia katika uhalisi wa maneno ya Mungu.

Vitabu Juu ya Kuingia katika Uzima

Pakua

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp