273  Wakati

1

Roho pweke kasafiri toka mbali,

yachunguza wakati ujao, yatafuta uliopita,

yafanya kazi kwa bidii, na kufuatilia ndoto.

Haijui inakotoka wala inakoenda,

kuzaliwa kwa machozi na kufifia kwa kufa moyo.

Ijapokanyagwa chini, bado inashikilia.

Kuja kwako kwakomesha maisha ya dhiki kuelea.

Naona tumaini na, kulaki mwanga wa macheo.

Natazama umbali wenye ukungu, ninaona sura Yako.

Huu ndio un’gavu, ung’avu wa uso Wako.


2

Jana, nilitangatanga ugenini,

lakini leo narudi nyumbani.

Nimejawa vidonda, si kama binadamu,

Ninaomboleza maisha ni ndoto.

Kuja kwako kwakomesha maisha ya dhiki kuelea.

Mimi sipotei tena. Mimi sizururi tena.

Niko nyumbani sasa. Naona joho Lako jeupe.

Huu ndio un’gavu, ung’avu wa uso Wako.


3

Mizunguko mingi ya kuzaliwa upya, miaka mingi ya kusubiri,

sasa Mwenyezi amekuja.

Roho pweke ilipata njia, na haina huzuni tena.

Ndoto ya maelfu ya miaka.

Iliyotangulia: 271  Mungu Pekee Ndiye Bora Zaidi

Inayofuata: 274  Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp