208  Kusubiri Habari Njema za Mungu

1

Kwa macho ya tamaa, Unaita kwa haraka.

Ukikabiliana na wanadamu katili, Unanena moyo Wako.

Kwa tamaa ya pekee Unapitia maovu makubwa,

ukimwaga tumaini Lako na damu ya moyo Wako.

Hautarajii mengi sana kamwe, Unatoa yote,

unafahamu maumivu na mateso.

Eh Mtakatifu, nani analingana na uzuri wako?

Kazi Yako kuu itaheshimiwa milele.

Ningewezaje kukuacha kutafuta unaodaiwa kuwa uhuru?

Afadhali niteseke ili kufidia moyo Wako unaohuzunika.

Ningewezaje kukuacha kutafuta unaodaiwa kuwa uhuru?

Maua yanapochanua tena, nitasikiliza habari Zako njema.

2

Katika dhambi nilianguka ila nainuka katika nuru.

Unanikuza hivyo, ninashukuru sana.

Mungu katika mwili, Anateseka, napaswa kuteseka kiasi gani zaidi?

Ikiwa ningekubali giza, ningemwonaje Mungu?

Ningewezaje kukuacha kutafuta unaodaiwa kuwa uhuru?

Afadhali niteseke ili kufidia moyo Wako unaohuzunika.

Ningewezaje kukuacha kutafuta unaodaiwa kuwa uhuru?

Maua yanapochanua tena, nitasikiliza habari Zako njema.

3

Ninapotafakari maneno Yako,

yananifanya nikutamani.

Kila nionapo uso Wako,

katika hatia zangu nakusalimu.

Ningewezaje kukuacha kutafuta unaodaiwa kuwa uhuru?

Afadhali niteseke ili kufidia moyo Wako unaohuzunika.

Ningewezaje kukuacha kutafuta unaodaiwa kuwa uhuru?

Maua yanapochanua tena, nitasikiliza habari Zako njema.

Iliyotangulia: 206  Mungu Mwenye Haki, Uweza na wa Utendaji

Inayofuata: 209  Kuinuka Katikati ya Giza na Dhuluma

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp