217  Kutafuta Wandani

1

Umefanya kazi katika bustani kwa muda mrefu

na Umepanda upendo Wako ndani sana.

Umelipa kila gharama, Ukitamani kuwapata watu ambao wana moyo mmoja na Wewe.

Umetafuta kwa muda mrefu.

Umewekeza upendo mwingi sana wa kweli

Ni nani anayeweza kuelewa dhiki Yako?

Lakini ni vigumu Kwako kupata faraja katika maumivu Yako.

Moyo wangu unatamani kukupenda

na nitaiga roho ya Petro.

Nitatekeleza mapenzi Yako maisha yangu yote

na kukufuata kikamilifu.


2

Siku Yako inakuja,

na sote tunajitahidi kwa juhudi kubwa.

Tunataka kukupenda na kuwa wandani Wako,

na kutembea pamoja na Wawe kupitia upepo na mvua.

Bwana ataondoka bustanini,

na watumishi hawawezi kuvumilia hili, mioyo yao imevunjika.

Deni kama hili ni gumu kulipa, hata kulipa kiasi kidogo kabisa.

Moyo wangu unatamani kukupenda

na nitaiga roho ya Petro.

Nitatekeleza mapenzi Yako maisha yangu yote

na kukufuata kikamilifu.


3

Kila mtu amejawa na wasiwasi

na moyo Wako bado haujafarijika.

Ninaogopa tu kwamba sikupendi sana kiasi cha kutosha,

na kamwe siwezi kuthubutu kuwa mzembe.

Moyo wangu unatamani kukupenda

na nitaiga roho ya Petro.

Nitatekeleza mapenzi Yako maisha yangu yote

na kukufuata kikamilifu.

Kikamilifu, kikamilifu.

Iliyotangulia: 216  Tunapaswa Kukimya Mbele za Mungu Daima

Inayofuata: 218  Wimbo wa Upendo wa Dhati

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp