Neno Laonekana katika Mwili Toleo La 5

Majukumu ya Viongozi na Wafanyakazi

Majukumu ya Viongozi na Wafanyakazi ni juzuu ya tano ya Neno Laonekana katika Mwili. Kitabu hiki kinajumuisha mahubiri na ushirika wa Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, kwa makanisa kuhusu mada hii. Mungu ameshiriki kwa uwazi kuhusu majukumu ya viongozi na wafanyakazi, na vile vile kanuni mahususi na njia za utendaji kwa vipengele mbalimbali vya kazi ya kanisa. Pia Amefichua kiini cha udhihirisho na matendo mbalimbali ya viongozi wa uongo. Hili lina msaada mkubwa sana kwa watu katika kujifunza kutambua viongozi wa uongo, kufanya kazi halisi, kufikia utii kwa Mungu na kustahili kutumiwa na Yeye. Lina manufaa makubwa kwa watu kuuelewa ukweli, kujijua wenyewe, na kutekeleza wajibu wao kulingana na kanuni.

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho

Pakua

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp