Video ya Kiswahili ya Ushuhuda wa Kikristo "Mungu Ndiye Nguvu ya Maisha Yangu"

19/07/2018

| Jinsi Wakristo Humtegemea Mungu Kushinda

Fang Jin ni Mkristo. Alikamatwa na serikali ya CCP kwenye mkusanyiko. Ili kumlazimisha kuwataja ndugu zake wa kike na kiume na kumsaliti Mungu, polisi walimnyima chakula, maji na usingizi kwa siku saba mchana na siku sita usiku, na kusababisha kila aina ya mateso ya kinyama juu yake: mapigo makali, kuning’inizwa, kuchuchumaa, kudhihakiwa na kufedheheshwa. Alikuwa amejaa majeraha na alipooza miguu. Katika maumivu, alimwomba Mungu. Neno la Mungu lilimpatia nuru na kumwongoza kubaini tena na tena hila za Shetani na lilimwongezea imani na nguvu. Hivyo aliweza kunusurika na uharibifu wa Shetani na kuwa shahidi kwa Mungu! Baada ya kupitia mateso ya kinyama ya pepo wabaya wa CCP, alitambua asili ya kipepo ya CCP. Wakati huohuo, aliona pia kazi za ajabu za Mungu na kuelewa nguvu na mamlaka ya neno la Mungu. Alielewa kwa undani sana kwamba Mungu ni nguvu ya maisha yake, tegemeo na wokovu wake pekee. Amedhamiria kumfuata Mungu maisha yake yote!

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp