Wimbo wa Kusifu | Upendo wa Mungu kwa Binadamu ni wa Kweli na Halisi

22/11/2020

Upendo wa Mungu kwa binadamu

hasa umedhihirishwa katika kazi Yake wakati akiwa katika mwili,

Yeye binafsi Akiwaokoa watu,

Akizungumza uso kwa uso na watu,

na kuishi miongoni mwa watu bila kuwa mbali nao hata kwa hatua moja,

bila kujifanya, lakini akifanya kweli.

Huwaokoa watu kwa kiasi

kwamba Aliweza kuwa mwili

na kupita miaka mingi ya maumivu pamoja na watu duniani,

yote hii ni kwa sababu ya upendo Wake na huruma kwa binadamu,

yote hii ni kwa sababu ya upendo Wake na huruma kwa binadamu.

Upendo wa Mungu kwa binadamu hauna masharti au matakwa.

Anapata nini kutoka kwa binadamu?

Watu hawamchangamkii Mungu.

Nani anaweza kumchukulia Mungu kama Mungu?

Watu hata hawampatii Mungu faraja,

hata leo hii Mungu hajapokea upendo wa kweli kutoka kwa watu.

Mungu Anatoa bila ubinafsi na Anakimu bila ubinafsi.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp