Wimbo wa Injili | Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu

16/03/2020

Usimamizi wa Mungu ni kwa ajili

ya kupata kikundi cha watu ambao humwabudu Mungu na kujitoa kwake.

Hawa wanadamu wamepotoshwa na Shetani,

lakini hawamwoni Shetani kama baba yao:

hutambua uso usiopendeza wa Shetani,

na kuukataa, na kuja mbele Zake Mungu na kukubali hukumu na kuadibu Kwake.

Hujua kisichopendeza

na jinsi kinavyotofautiana na kile kilicho kitakatifu,

na hutambua ukubwa wa Mungu na uovu wa Shetani.

Wanadamu kama hawa hawatamfanyia Shetani kazi tena,

au kumwabudu Shetani, au kumsetiri Shetani.

Hii ni kwa sababu wao ni kikundi cha watu ambao wamemilikiwa na Mungu.

Huu ndio umuhimu wa Mungu kuwasimamia wanadamu.

Katika kazi ya usimamizi wa Mungu wa wakati huu,

wanadamu ndio chombo cha maovu ya Shetani,

na kwa wakati uo huo ni chombo cha ukombozi wa Mungu,

aidha ni sababu ya vita dhidi ya Mungu na Shetani.

Wakati sawia na wakati wa kutekeleza kazi Yake,

Mungu taratibu Humtoa mwanadamu kutoka mikononi mwa Shetani,

na hivyo mwanadamu anakuja karibu zaidi na Mungu …

na hivyo mwanadamu anakuja karibu zaidi na Mungu …

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp