2020 Christian Testimony Video | Kiburi Huja Kabla ya Kuanguka (Swahili Subtitles)

2020 Christian Testimony Video | Kiburi Huja Kabla ya Kuanguka (Swahili Subtitles)

380 |14/08/2020

Mhusika mkuu katika video hii ana uzoefu wa kina wa kibinafsi wa kifungu hiki katika Kitabu cha Mithali: “Kiburi huja kabla ya maangamizo, na roho ya majivuno hutangulia maanguko” (Mithali 16:18). Baada ya kufanya kazi kama kiongozi wa kanisa kwa miaka kadhaa, kupata uzoefu wa kiasi kisicho kidogo wa kazi, anatumia hili kwa faida yake mwenyewe, akizidi kuwa mwenye kiburi na majivuno. Mara nyingi yeye hufanya vile apendavyo na hutumia wadhifa wake kuwasuta na kuwakaripia kina ndugu. Akiwa anaishi kabisa ndani ya tabia yake potovu, anapoteza kazi ya Roho Mtakatifu na anaanza kugonga mwamba kila anapofanya kazi ya kanisa. Anafanya makosa kila wakati katika kazi yake, na mwishowe anafunuliwa na kina ndugu, kisha anaondolewa kutoka katika wajibu wake kama kiongozi…. Baada ya kujikwaa na kushindwa kwa njia hii, anajifunza nini kujihusu, na anapata nini kutokana na tukio hili?

Onyesha zaidi
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Shiriki

Ghairi