Filamu za Kikristo | Nini Hasa Ni Uhusiano Kati ya Kuokolewa na Kuingia kwenye Ufalme wa Mbinguni? (Dondoo Teule)

07/09/2018

Watu wengi wanasadiki kwamba kwa kumsadiki Bwana Yesu dhambi zao zinasamehewa, kwamba wanaokolewa kupitia kwa imani, na zaidi kwamba pindi mtu anapookolewa anaokolewa milele, na pindi Bwana anaporudi ananyakuliwa na kuingia kwenye ufalme wa mbinguni! Ilhali Bwana Yesu alisema, "Si kila mtu aniitaye, Bwana, Bwana, ataingia katika ufalme wa mbinguni; ila yule atendaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni" (Mathayo 7:21). Watu hawa wanaomwita "Bwana, Bwana" wote ni watu ambao wameokolewa kupitia kwa imani yao katika Bwana, hivyo kwa nini si kila mmoja wao anaweza kuingia kwenye ufalme wa mbinguni? Ni nini kinachoendelea hapa? Ni nini hasa uhusiano kati ya kuokolewa na kuingia kwenye ufalme wa mbinguni?

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp