Swahili Christian Stage Play | Njia Panda | Who Has Torn Christians' Families Apart?

25/08/2020

Kwa sababu ya Li Xin kusakwa na polisi wa CCP kwa ajili ya kumwamini Mungu na kueneza injili, analazimika kukimbia na kuacha maskani yake. Katika kujaribu kumkamata, polisi wanatishia kuwafukuza kazini wanafamilia wake. Kwa sababu ya kutishiwa na kutumiwa na CCP, familia yake inajaribu kumshawishi na kumrairai Li Xin aache kumwamini Mungu na akiri maelezo ya imani yake katika Mungu kwa polisi…. Anapokabiliwa na shinikizo la kifamilia kutoka pande zote, je, Li Xin atachagua nini mwishowe? Tazama Njia Panda ili ujue.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp