Filamu za Kikristo | Mbona Kuna Ukiwa Ulioenea Pote katika Ulimwengu wa Dini? (Dondoo Teule)
07/08/2018
Dunia nzima ya dini kwa sasa inapitia njaa kubwa, hawapo tena pamoja na kazi ya Roho Mtakatifu au uwepo wa Bwana, wanafanya mambo maovu zaidi na zaidi na imani na huruma ya waumini inadhoofika na kuwa baridi. Aidha, maafa yanazidi kuwa mabaya zaidi na zaidi kote duniani, unabii kwamba Bwana angerudi katika siku za mwisho tayari umetimia. Chanzo cha ukiwa makanisani ni nini? Mapenzi ya Mungu katika hili ni yapi? Unaweza kupata majibu hapa.
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Aina Nyingine za Video