Filamu za Kikristo | Wokovu Kupitia Imani Pekee Unaweza Kuwa Tiketi ya Kuingia Katika Ufalme wa Mbinguni? (Dondoo Teule)

07/09/2018

Hasa ni mtu aina gani anayeweza kuingia kwenye ufalme wa mbinguni? Baadhi ya watu hufikiria dhambi zetu zinasamehewa pindi tunaposadiki Bwana, kwamba pindi tunapookolewa basi tunaokolewa milele, na kwamba mtu aina hii anaweza kunyakuliwa na kuingia kwenye ufalme wa mbinguni. Kisha kuna wale wanaosadiki kwamba, ingawa dhambi zetu zinasamehewa pindi tunaposadiki Bwana, bado tunafanya dhambi mara kwa mara na hatujafikia utakatifu, na kwa sababu Biblia inasema kwamba wale ambao si watakatifu hawawezi kumwona Bwana, basi ni vipi tunaweza kunyakuliwa na kuingia kwenye ufalme wa mbinguni wakati hatujafikia utakatifu? Hivyo ni nani aliye sahihi na nani asiye sahihi kutokana na mitazamo hii miwili? Tafadhali tazama pande zote mbili zikishiriki katika majadiliano makali!

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp