Christian Testimony Video | Kutoroka Hatari (Swahili Subtitles)

23/08/2020

Katika bara China, maelfu na maelfu ya Wakristo hukamatwa na kuteswa na CCP na hupitia mateso ya kikatili na ya kuchukiza sana. Mhusika mkuu wa video hii pia anaponea chupuchupu. Baada ya kukamatwa na CCP kwa kushiriki katika kuchapisha vitabu vya kanisa, maafisa wa polisi wenye kichaa wanamtesa kwa kumfunga kwa minyororo, kumfungulia mbwa wa polisi, kumning’iniza kwa pingu kwa siku nne, na kumtia umeme kwenye kiti cha mateso, na mateso mengine kama haya. Kila wakati maisha yake yanapokuwa hatarini, anaona matendo ya Mungu ya ajabu: Mbwa wa polisi hawamshambulii, pingu ambazo zinatumiwa kumning’iniza zinafunguka, na umeme kutoka kwenye kiti cha mateso haumgusi… Video hii inasimulia tukio la mtu huyu la kukwepa kifo katika gereza hilo la pepo.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp