Christian Testimony Video | Jinsi Nilivyobadilisha Tabia Yangu ya Kiburi (Swahili Subtitles)

22/10/2020

Mhusika mkuu ana uzoefu wa kitaalamu wa usanifu wa ndani wa zaidi ya miaka minne. Anapoanza kufanya jukumu la kushughulikia vifaa vya uigizaji na mandhari ya filamu za kanisa, anajaribu kutumia uzoefu huu kwa faida yake katika wajibu wake. Yeye daima hushikilia maoni yake mwenyewe, ni mwenye kiburi, hujidai, na yeye hukubali mawazo ya watu wengine kwa nadra. Jambo hili linawazuia ndugu zake na kusababisha makosa mengi, na kuyalazimu mambo yafanywe upya na kuchelewesha kuendelea kwa upigaji picha za sinema. Baada ya kufunuliwa na kuhukumiwa na maneno ya Mungu, anapata ufahamu kidogo kuhusu asili yake ya kiburi na anakuja kuichukia. Pia, anagundua kuwa hawezi kufanya wajibu wake vizuri anapotegemea tu uzoefu na nguvu zake mwenyewe. Anaanza kuikana tabia yake ya kiburi kwa makusudi na analenga kutafuta ukweli. Anapoacha kujijali na kuanza kukubali maoni ya wengine, anaanza kuishi kwa kudhihirisha mfano kidogo wa binadamu.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp