Swahili Christian Testimony Video | Jinsi Mtu Anavyopaswa Kuchukulia Wajibu Wake

13/06/2020

Yasemekana kuwa “Wenye ubongo hutawala wenye misuli,” na watu wengi hutafuta kujitokeza na kuheshimiwa. Mhusika mkuu katika video hii hajaachwa nyuma. Mwanafunzi wa zamani wa chuo kikuu, baada ya kumwamini Mungu, daima anataka kufanya wajibu kanisani ambao unamruhusu ajitokeze na kuheshimiwa sana na wegine. Anapopewa wajibu wa kawaida autekeleze, anafadhaika na kuwa hasi, anahisi kana kwamba hadhi na heshima yake imevunjia, na anashindwa kutii. Je, anaishiaje kupata chanzo cha mateso yake kupitia maneno ya Mungu? Na, je, anatambuaje matatizo yalimo katika mitazamo yake juu ya ufuatiliaji, na kuja kukubali kila wajibu anaopewa kwa utulivu? Ikiwa mara nyingi wewe huzongwa na mateso ya aina hii vile vile, mtazame mhusika mkuu akisimulia uzoefu wake na uone jinsi alivyoyashinda.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp