Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Tafuteni Maana ya Maisha - "Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi" (Video Rasmi ya Muziki)

Mfululizo wa Video za Muziki   254  

Utambulisho

Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi


I

Haikuwa wazi ni kwa ajili ya nani mtu anapaswa kuishi. Sasa nina jibu kwa hilo.

Nilikuwa naishi tu kwa ajili yangu mwenyewe, kutafuta hadhi tu na umaarufu.

Maombi kwa Mungu yaliyojaa maneno mema, lakini nikishikilia njia zangu mwenyewe katika maisha halisi.

Imani juu ya msingi wa kesho na majaliwa, sina ukweli au uhalisi.

Mila na sheria, zikifungia imani yangu; sikubaki na kitu ila utupu.

Kushindwa kuishi kama binadamu, sistahili upendo wa Mungu kwa ajili yangu.


II

Moyo wangu umeamshwa sasa, ukiniambia ni lazima nilipe upendo wa Mungu.

Najichukia kwa kuwa sikuwa na dhamira, kutomtii Mungu na kuvunja moyo wake.

Kamwe sijawahi kuutunza moyo wa Mungu; kamwe sikuwahi kujishughulisha na maneno Yake.

Bila dhamiri, kutokuwa na hisi, ni jinsi gani naweza kuorodheshwa kama mtu?

Hukumu ya Mungu hunifanya nione, nilikuwa nimepotoshwa na Shetani kabisa.

Maovu, dunia hii, iliyojaa mitego, Ukweli ndio muumini lazima achague.

Ee Mungu mpenzi, Unanipenda sana, kufanya kila Unaloweza kunifanya niokolewe.

Kile Ulichonifanyia, nitakiweka kwa kumbukumbu! Kamwe sitasahau milele.

Utunzaji wa moyo wa Mungu, hayo ni mapenzi yangu yote. Nina kusudio la kufuata ukweli.

Najishughulisha kugharimia rasilmali kwa ajili ya Mungu, kujitoa mwenyewe kulipa upendo wake,

kujitoa mwenyewe kulipa upendo wake.


kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya