Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Nampenda Mungu kwa Moyo Wangu Wote | "Nitampenda Mungu Milele" (Video Rasmi ya Muziki)

Msururu wa MV za Ufalme   7  

Utambulisho

Nitampenda Mungu Milele


Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kurudi Kwako.

Nakubali mafunzo katika ufalme Wako mchana na usiku.

Majaribio mengi na maumivu, mateso mengi sana.

Mara nyingi nilimwaga machozi na kuhisi huzuni,

na mara nyingi nimeanguka katika mtego wa Shetani.

Lakini Hujawahi kuniacha.

Uliniongoza kupitia matatizo mengi, Umeniweka kupitia hatari nyingi.

Sasa najua ya kuwa Wewe Umenipenda.


Ee Mungu! Waniongoza kwa maisha mapya.

Nikifurahia Maneno yako, Nimeelewa mapenzi yako.

Maneno yako hunihukumu na kuniadibu, na kutakasa upotovu wangu.

Kupitia majaribio nimejifunza kukutii Wewe.

Kukua katika neno la Mungu, nimekuja kumjua Mungu.

Niko tayari kufanya wajibu wangu kwa shahidi Wako na utukufu.

Nitakupenda Wewe kwa muda wote.

Kama kubarikiwa au kulaaniwa, mimi nitafurahi kuwa katika huruma Yako.

Nitakupa Wewe upendo wa kweli, na sitakuacha Usubiri.

Mimi nitakupa Wewe upendo safi, na tafadhali furahia upendo wangu.

Nitakupa Wewe upendo wangu wote, na kukuacha upate upendo wangu.

Nitakupenda Wewe kwa wakati wote; kukuridhisha Wewe ni matamanio yangu.


kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya