Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

“Bwana Wangu Ni Nani” – Ni Wale Tu Wanaofuata Nyayo za Mungu Ndio Wanaweza Kufikia Njia ya Uzima wa Milele | Filamu za Injili (Movie Clip 5/5)

Dondoo za Filamu   725  

Utambulisho

“Bwana Wangu Ni Nani” – Ni Wale Tu Wanaofuata Nyayo za Mungu Ndio Wanaweza Kufikia Njia ya Uzima wa Milele | Filamu za Injili (Movie Clip 5/5)


Biblia imejaa maneno ya Mungu na vile vile uzoefu na ushuhuda kutoka kwa mwanadamu ambao unaweza kutupa uhai na ni yenye manufaa sana kwetu. Bwana Yesu alisema, "Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima: Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, bado ataishi: Na yeyote aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele." (Yohana 11:25-26). Lakini kwa nini, baada ya miaka 2,000, hakuna kati ya wale walio na imani katika Bwana ambao wamesoma Biblia wamewahi kupata uzima wa milele? Inaweza kuwa kwamba Biblia haina njia ya uzima wa milele? Inaweza kuwa kwamba wakati Bwana Yesu alitekeleza kazi Yake ya ukombozi kwamba Hakuwapa binadamu njia ya uzima wa milele? Tunapaswa kufanya nini ili kuweza kupata njia ya uzima wa milele?

Pakua Programu Bila Malipo

Mkusanyiko wa Namna Mbalimbali wa Video  Ona Matendo ya Mungu

Pakua Programu Bila Malipo

Mkusanyiko wa Namna Mbalimbali wa Video  Ona Matendo ya Mungu