Wimbo wa Kikristo | Umuhimu wa Kuonekana kwa Mungu | The Lord Has Come Back (Tai Chi Dance)

04/09/2018

Kuonekana kwa Mungu kunataja kufika Kwake binafsi duniani ili kufanya kazi Yake.

Na utambulisho Wake mwenyewe na tabia, na kwa njia Yake mwenyewe,

Yeye anashuka kati ya mwanadamu ili kuanza enzi na kumaliza enzi.

Kuonekana kama huku sio ishara ama picha.

Si aina ya sherehe.

Si muujiza. Si ono kuu.

Pia sio aina ya mchakato wa kidini hata zaidi.

Ni ukweli halisi ambao unaweza kuguswa na kuonwa,

ukweli ambao unaweza kuguswa na kuonwa.

Konekana kama huku sio kwa ajili ya kufuata mchakato,

ama kwa ajili ya shughuli ya muda mfupi;

lakini ni, kwa ajili ya hatua ya kazi katika mpango wa usimamizi wa Mungu.

Kuonekana kwa Mungu kila mara ni kwa maana,

na kuna uhusiano na mpango Wake wa usimamizi,

kuna uhusiano na mpango Wake wa usimamizi.

Konekana huku si sawa kabisa

na kuonekana kwa Mungu akiongoza mwanadamu,

kumwongoza mwanadamu au kumtia nuru mwanadamu, kumwongoza mwanadamu au kumtia nuru mwanadamu.

Mungu anafanya hatua ya kazi kuu kila wakati Anapojifichua Mwenyewe.

Kazi hii ni tofauti na ile ya enzi nyingine yoyote,

isiyoweza kufikiriwa na mwanadamu, haijapitiwa na mwanadamu kamwe,

haijapitiwa na mwanadamu kamwe.

Ni kazi inayoanzisha enzi mpya na kumaliza enzi nzee,

kazi mpya na bora ya wokovu wa binadamu,

na kazi ya kumleta binadamu katika enzi mpya.

Ni umuhimu wa kuonekana kwa Mungu.

kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp