Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (1) - Ni Jinsi Gani Bwana Ataonekana kwa Mwanadamu Atakaporudi Tena

Dondoo za Filamu   736  

Utambulisho

Katika karne zote tangu Bwana Yesu alipofufuka na Akapaa mbinguni, sisi waumini tumetamani sana kwa hamu kurudi kwa Yesu Mwokozi. Watu wengi wanaamini kwamba utakuwa mwili wa kiroho wa Yesu aliyefufuka ambao utaonekana kwetu wakati Bwana atarudi. Lakini kwa nini Mungu ameonekana kwa mwanadamu akiwa mwili kama Mwana wa Adamu katika siku za mwisho? Mwenyezi Mungu asema, "Mungu Asipokuwa mwili, Atabaki kama Roho bila kuonekana au kuguswa na mwanadamu. Mwanadamu ni kiumbe wa mwili, na mwanadamu na Mungu ni wa dunia mbili tofauti na ni tofauti kwa asili. Roho wa Mungu hana uuwiano na mwili wa mwanadamu, na hakuna uhusiano unaoweza kuwepo kati yao...." "Ni kwa kupata mwili pekee ndiyo Ataweza kuwasilisha maneno Yake Mwenyewe kwa masikio ya wale wote ambao wana masikio waweze kuyasikia maneno Yake na kupokea kazi Yake ya hukumu kupitia kwa neno. Hayo tu ndio matokeo yanayopokewa na neno Lake..." (Neno Laonekana Katika Mwili).

Pakua Programu Bila Malipo

Mkusanyiko wa Namna Mbalimbali wa Video  Ona Matendo ya Mungu

Pakua Programu Bila Malipo

Mkusanyiko wa Namna Mbalimbali wa Video  Ona Matendo ya Mungu