Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Swahili Christian Video | "Kuna Mungu Mmoja Tu" | Je, Nadharia ya Utatu Inakubaliana na Neno la Bwana?

Mfululizo wa Maonyesho Mbalimbali   853  

Utambulisho

Swahili Christian Video | "Kuna Mungu Mmoja Tu" | Je, Nadharia ya Utatu Inakubaliana na Neno la Bwana?


Kwa miaka 2000, nadharia ya theolojia ya Utatu imeonekana kuwa kanuni ya msingi ya imani ya Kikristo. Lakini, Mungu kweli ni Utatu? Je, uhusiano kati ya Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni upi hasa? Hakuna mtu ambaye amewahi kuweza kujibu maswali haya waziwazi. Siku moja, Ndugu Zhang anaandika swali katika kikundi cha majadiliano cha mtandaoni cha kanisa lake: Je, Utatu kweli upo? Swali hili linaanzisha mjadala mkali kati ya waumini na baada ya hapo Zheng Xun na Li Rui wanajadili na kufanya ushirika juu ya swali hili. Hitimisho lao ni lipi? Tafadhali furahia mazungumzo haya ya kuigiza ya Kuna Mungu Mmoja Tu.

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu