Wimbo wa Dini | Kile Ambacho Anayemwamini Mungu Anapaswa Kufuatilia (Music Video)

29/08/2020

Kutoka kwa tofauti katika kiini cha Paulo na kiini cha Petro

unapaswa kufahamu kuwa wale wote ambao hawafuati uzima wanafanya kazi ya bure,

wale wote ambao hawafuati uzima wanafanya kazi ya bure!

Unamwamini Mungu na unafuata Mungu,

na kwa hivyo moyoni mwako ni lazima umpende Mungu.

Ni lazima uache tabia yako potovu,

lazima utafute kutimiza mapenzi ya Mungu,

na ni lazima utekeleze wajibu wako kama kiumbe wa Mungu.

Kwa kuwa unamwamini na kumfuata Mungu,

unapaswa kutoa kila kitu kwake,

na hupaswi kufanya uamuzi au madai ya kibinafsi,

na unapaswa kutimiza ukamilishaji wa mapenzi ya Mungu.

Kwa kuwa uliumbwa, unapaswa kumtii Bwana aliyekuumba,

kwa kuwa wewe huna mamlaka kiasili juu yako mwenyewe,

na huna uwezo wa kudhibiti hatima yako.

Kwa kuwa wewe ni mtu ambaye anamwamini Mungu,

inapaswa utafute utakatifu na mabadiliko.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp