Christian Testimony Video | Nilipokuwa na Umri wa Miaka 18 (Swahili Subtitles)
07/08/2020
Yilian alipokuwa mwenye umri wa miaka 18, alikamatwa na polisi wa CCP kwa sababu ya imani yake. Walitumia mbinu za kila aina kumfedhehesha na kumtesa, kumjaribu na kumshawishi, wakijaribu kumlazimisha amsaliti Mungu na kuwasaliti ndugu zake. Alimwomba na kumwita Mungu mara kwa mara kuanzia mwanzo hadi mwisho wa shida hizi…. Je, Yilian alimshinda vipi Shetani na kuwa shahidi chini ya mwongozo wa maneno ya Mungu? Tazama Nilipokuwa Mwenye Umri wa Miaka Kumi na Minane ili kujua.
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Aina Nyingine za Video
Usomaji wa Maneno ya Mwenyezi Mungu
Maneno ya Mungu ya Kila Siku
Filamu za Injili
Ushuhuda wa Maisha ya Kanisa
Filamu za Ushuhuda wa Matukio ya Maisha
Filamu za Mateso ya Kidini
Mfululizo wa Video za Kwaya
Maisha ya Kanisa—Mfululizo wa Maonyesho Mbalimbali
Video za Muziki
Video za Nyimbo za Dini
Kufichua Ukweli
Dondoo Maalum za Filamu