Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Swahili Christian Video | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Ni Nani Aliyemlazimisha Kuyatamatisha Maisha Yake"

Kufichua Ukweli   803  

Utambulisho

Swahili Christian Video | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Ni Nani Aliyemlazimisha Kuyatamatisha Maisha Yake"


Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani. Filamu hii inasimulia hadithi ya Gao Yufeng, Mkristo katika China Bara, ambaye alikamatwa na polisi wa CCP na kupewa mateso ya kikatili ya aina zote ambayo hatimaye yalimfanya kujiua katika kambi ya kazi kwa kumwamini Mungu na kutimiza wajibu wake. Filamu hii inaonyesha udhalimu mbaya sana na mateso ya kikatili yaliyowafika Wakristo waliozuiliwa baada ya kukamatwa chini ya utawala muovu wa CCP, ikionyesha asili ya pepo ya chuki ya CCP kwa Mungu na kuuawa kwa Wakristo.Baadhi ya taarifa katika video hii zinatoka kwa:

Wow!視覺特效Show一手!影片素材上傳區!

https://www.youtube.com/channel/UCo2WsnnMMdo4x9FqETfHJ3g

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu