Wimbo wa Injili | Ni kwa Kufanya Kazi Katika Mwili Pekee Ndiyo Mungu Anaweza Kumpata Binadamu

14/03/2020

Kupitia neno la Mungu la utendaji,

unyonge wa mwanadamu na uasi yanahukumiwa na kufichuliwa.

Kisha wanadamu wanapokea wanachohitaji.

Wanaona kuwa Mungu amekuja katika ulimwengu huu wa binadamu.

Kazi ya Mungu wa utendaji ina nia ya kumwokoa kila mmoja

kutoka kwa ushawishi wa Shetani,

kuwaokoa kutoka kwa uchafu na kwa tabia yao iliyopotoshwa na Shetani.

Kupatwa na Mungu kunamaanisha kufuata mfano Wake

kama mfano kamili wa mwanadamu.

Mfuate Mungu wa matendo, ishi ubinadamu wa kawaida,

fuata maneno Yake na mahitaji, fuata kile Anachosema kabisa,

na ufanikishe kile Anachotaka, kisha utapatwa na Mungu.

Mungu alichukua mwili, Akiruhusu watu kuona matendo Yake.

Roho Wake alichukua mwili, ili mwanadamu amguse Mungu,

ili watu wamtazame Mungu na kuja kumjua.

Kwa njia hii ya matendo pekee ndiyo Mungu huwafanya watu kuwa wakamilifu.

Wale wanaoweza kuishi maisha yao kulingana na Yeye

na kufuata moyo Wake, ni wale wanaopatwa na Mungu.

Kupatwa na Mungu kunamaanisha kufuata mfano Wake

kama mfano kamili wa mwanadamu.

Mfuate Mungu wa matendo, ishi ubinadamu wa kawaida,

fuata maneno Yake na mahitaji, fuata kile Anachosema kabisa,

na ufanikishe kile Anachotaka, kisha utapatwa na Mungu.

Kama Mungu angenena tu mbinguni na asije chini duniani,

watu wangewezaje kumjua Yeye?

Na maneno matupu tu kuonyesha kazi Yake,

na sio maneno Yake kama ukweli.

Mungu anakuja kama mfano,

ili mwanadamu amwone na kumgusa, amwone na kupatwa na Yeye.

Kupatwa na Mungu kunamaanisha kufuata mfano Wake

kama mfano kamili wa mwanadamu.

Mfuate Mungu wa matendo, ishi ubinadamu wa kawaida,

fuata maneno Yake na mahitaji, fuata kile Anachosema kabisa,

na ufanikishe kile Anachotaka, kisha utapatwa na Mungu.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp