
Swahili Worship Song Collection 2020 - Swahili Gospel Songs With Lyrics
21833 |28/01/2020
【00:00:00:00】Upendo Safi Bila Dosari
【00:04:28:00】Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa
【00:08:21:00】Kazi ya Mungu Inaendelea Kuboreshwa
【00:12:22:20】Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu
【00:16:03:14】Matendo ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu
【00:19:43:26】Ni Wakati Tu Ambapo Mungu Anakuwa Mwili Ndipo Mwanadamu Anaweza Kuwa Mwandani Wake
【00:23:22:11】Umuhumi wa Maombi
【00:26:38:20】Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu
【00:30:04:19】Tabia ya Haki ya Mungu ni ya Pekee
【00:34:16:23】Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu Ni Kumwokoa Binadamu
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.
Aina Nyingine za Video